Rais Ruto ahudhuria ibada ya shukrani ya kanisa Kericho

  • | K24 Video
    20 views

    Rais William Ruto ametangaza kuvunjwa kwa kitengo cha huduma maalum maarufu special service unit chini ya kitengo cha DCI ambacho amedai kilitumika katika mauaji ya kiholela ya watu waliotupwa kwenye mito ukiwemo mto yala. Rais Ruto amesema haya katika ibada ya kanisa kaunti ya Kericho alikozuru kwa mara ya kwanza tangu aapishwe. Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua wamedokeza kuwa suluhu ya uchumi kudorora itapatikana. Wakati uo huo Ruto amewatangazia vijana kuwa fedha alizowaahidi maarufu husla fund zitatolewa mwezi disemba lakinia amefafanua kuwa ni za mkopo.