Rais Ruto ahudhuria mkutano wa bodaboda katika jumba la KICC

  • | Citizen TV
    576 views

    Rais William Ruto kwa sasa anazindua mradi maalum wa kuwawezesha kifedha wahudumu wa Bodaboda nchini, kwenye hafla inayoandaliwa katika jumba la mikutano la KICC. Rais ambaye ameambatana na waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen kwenye hafla hiyo vile vile ataeleza wahudumu hao wa bodaboda mikakati ambayo serikali imeweka kuboresha maslahi yao.