Rais Ruto ahudhuria mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote 'Non- Aligned Movement'

  • | KBC Video
    60 views

    Rais William Ruto amerejelea wito wake wa mageuzi katika taasisi za kimataifa za mkopo ili kuhakikisha usawa wa kifedha na maendeleo. Ruto aliyezungumza katika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote al-maarufu Non- Aligned Movement alikariri haja ya mataifa kuungana kwenye mapambano dhidi ya majanga yanayosakama ulimwengu yakiwepo mabadiliko ya tabianchi, ukosefu wa chakula na lishe bora akiyataja kama kzingiti kikuu kwa maendeleo na tishio kwa uhuru wa mipaka ya nchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive