Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto ahudhuria siku ya mwisho kwenye mashindano ya Safari Rally Naivasha

  • | Citizen TV
    836 views
    Duration: 2:55
    Makala ya mwaka 2027 ya mashindano ya wrc safari rally yatakuwa ya kwanza ambayo yataandaliwa kikamilifu na kufadhiliwa na sekta binafsi. Rais william ruto anasema wizara ya michezo bado itashirikiana na sekta binafsi kuhakikisha mashindano hayo ya magari yanafanikiwa. Mhariri wetu wa michezo mike okinyi ana taarifa kamili kutoka kwa naivasha.