Rais Ruto ajitahidi kwenye uongozi kwa asilimia 52

  • | Citizen TV
    1,703 views

    Utafiti wa hivi punde wa kampuni ya infotrak unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 50% ya wakenya wanahisi kwamba nchi inaendeshwa kwa njia isiyo sawa