Rais Ruto ajitetea kuhusu kukodisha ndege ya kifahari yenye bei ghali keulekea Marekani

  • | Citizen TV
    7,027 views

    Ruto: KQ Ingekuwa Ghali Zaidi Rais Ruto Ajitetea Kuhusu Kukodisha Ndege Ya Kifahari Ruto Asema Ndege Ya Kq Ingekuwa Ghali Zaidi Kauli Ya Rais Ruto Yavutia Shutuma Mitandaoni Viongozi Wa Upinzani Wakashifu Gharama Ya Safari Hiyo Rais Alikuwa Amesafiri Na Ujumbe Wake Marekani