Rais Ruto akosoa baadhi ya maamuzi ya majaji kortini

  • | Citizen TV
    3,932 views

    Rais William Ruto amekosoa baadhi ya maamuzi ya mahakama yanayopinga utekelezwaji wa miradi mikuu nchini. Kulingana na Rais Ruto baadhi ya miradi inayopingwa mahakamani ni sehemu ya ajenda kuu za serikali yake iliyowashawishi wakenya kumpigia kura. Alikuwa akizungumza wakati wa maadhimisho ya 12 ya uwepo wa mahakama ya Upeo nchini.