Rais Ruto akosoa jinsi maandamano ya Azimio yanavyotekelezwa

  • | K24 Video
    575 views

    Rais William Ruto amekosoa jinsi maandamano ya Azimio yanavyotekelezwa kufuatia uharibifu wa mali wa mali na hata watu kupoteza maisha. kulingana na rais Ruto katiba inakubali maandamano ila si yanayoathiri shughuli za kila siku za taifa, ni kauli ambayo imeungwa mkono na naibu rais Rigathi Gachagua ambaye ameyalinganisha maandamano hayo na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu akitaka kinara wa Azimio Raila Odinga kufuata sheria.