Rais Ruto akubali mazungumzo ya kukomesha mvutano kati ya afisi ya Rais na idara ya mahakama

  • | KBC Video
    30 views

    Rais William Ruto amekubali wito wa tume ya huduma ya mahakama wa mazungumzo ili kutokomeza mvutano unaoendelea kati ya afisi ya Rais na idara ya mahakama. Akizungumza huko Nandi, Rais alisema yuko tayari kushirikisha idara ya mahakama kuhusu jinsi ya kukabiliana na ufisadi. Wycliffe Oketch na taarifa kamili

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive