Rais Ruto akutana na viongozi kutoka kaunti ya Kiambu

  • | KBC Video
    34 views

    SERIKALI JUMUISHI

    Rais Ruto: Serikali ya Kenya Kwanza ni ya kila mtu Rais William Ruto amekanusha madai kuwa serikali yake haijajumuisha watu wote, akisema ataendelea kuwahudumia wakenya wote bila kujali mtamzamo wa kisiasa na kabila. Akizungumza asubuhi leo alipokutana na viongozi kutoka kaunti ya Kiambu katika ikulu ya Nairobi, Ruto alisema kuwa, alichaguliwa ili kuliunganisha taifa hili wala sio kuwahudumia wachache tu. Na kama mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anavyotudokeza, mkutano huo ni sehemu ya juhudi za rais za ushirikishi katika masuala ya maendeleo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive