Rais Ruto akutana na wabunge wa Kenya Kwanza kutafuta uungwaji mkono wa mswada wa fedha

  • | KBC Video
    42 views

    Rais William Ruto leo aliongoza mkutano wa wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza ambao lengo lake kuu ni kutafuta uungwaji mkono wa mswada wa fedha wa mwaka huu. Ruto amesema mswada huo utaisaidia serikali kutekeleza mipango yake ya kifedha. Mswada huo umezua mjadala mkali huku baadhi ya wabunge wa upinzani wakitishia kupinga mapendekezo kadhaa kwenye mswada huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rutonewstoday #darubini