Rais Ruto alihutubia kongamano Addis Ababa, Ethiopia

  • | KBC Video
    237 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi duniani kuharakisha juhudi za kukomesha njaa na kubadili mifumo ya uzalishaji chakula duniani. Akizungumza kwenye kongamano la umoja wa mataifa la kutathmini mifumo ya uzalishaji chakula linaloandaliwa jijini Addis Ababa, Ethiopia Ruto alisema kuwa ufanisi ulioko hauna usawa kwani mamilioni ya watu bado wanaathirika kutokana na njaa na utapimlo hasa katika nchi zinazostawi. Rais alitoa ombi la ufadhili wa kifedha kwa wakulima wenye mashamba madogo madogo na kujumuishwa kwa ubunifu wa kidijitali kama vile mpango wa M-PESA wa humu nchini kujenga chumi jumuishi na thabiti zaidi za chakula. Mwanahabari wetu Ben Chumba anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive