Rais Ruto amesema yuko tayari kuzungumza na jaji mkuu

  • | Citizen TV
    6,030 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa yuko tayari kufanya kikao na jaji mkuu Martha Koome kuhusu malumbano dhidi ya idara ya mahakama. Rais Ruto akizungumza katika kaunti ya Nandi amesema kuwa serikali kuu haitakimya huku mahakama ikizidi kutumika vibaya