Rais Ruto amewataka viongozi katika kaunti ya Mombasa kuacha ubabe wa siasa

  • | NTV Video
    240 views

    Rais William Ruto amewataka viongozi katika kaunti ya Mombasa kuacha ubabe wa siasa na kumakinikia maslahi ya wananchi. Ruto amesema hayo kufuatia cheche za kupigania tiketi ya chama cha UDA katika uchaguzi wa ugavana wa mwaka 2027 baina ya mbunge wa Nyali Mohammed Ali na Mbunge wa Afrika Mashariki Hassan Omar Sarai.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya