Rais Ruto amkosoa Gachagua kwa siasa za kikabila

  • | Citizen TV
    6,760 views

    Rais William Ruto ametetea usuhuba wake na kinara wa ODM Raila Odinga, akitetea ushirikiano wao baada ya handsheki. Akizungumza kwenye siku ya pili ya ziara yake Migori, Rais alimshutumu aliyekuwa naibu wake rigathi gachagua kwa kubambanya kikundi cha wanasiasa wenye msukumo wa kikabila kwa nia ya kuwagawanya wakenya.