Rais Ruto amtaka Raila waonane kama ana tatizo naye

  • | K24 Video
    321 views

    Ikiwa una tatizo nami njoo tuonane. Huo ni ujumbe wa rais William Ruto kwa kinara wa Azimio Raila Odinga kuhusiana na uchaguzi uliopita. Rais ambaye yuko katika kaunti ya kisii amewataka wakenya kupuuza wito wa odinga wa kufanya maandamano na badala yake wajihusishe na maendeleo