Rais Ruto amuomboleza marehemu rais wa Iran Ebrahim Raisi

  • | KBC Video
    42 views

    Rais William Ruto amemtaja marehemu rais wa Iran Ebrahim Raisi kama kiongozi shupavu aliyejitolea kuhudumia raia wa Iran. Rais Ruto amesema marehemu Raisi alikuwa kiongozi thabiti na mwenye msimamo imara huku akijitolea kuinua hadhi ya Iran machoni pa mataifa. Hayati Raisi alifariki pamoja na waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa nchi hiyo kwenye ajali ya ndege hapo jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive