- 10,268 viewsDuration: 1:26Rais wa Kenya William Ruto leo amemzawadia Shujaa wa mbio za marathon Sebastian Sawe gari jipya lenye namba maalum zilizoandikwa muda wake wa kuvunja rekodi katika marathon 1:59:30 pamoja na pesa takriban pauni 45,000 (shilingi milioni 8 za Kenya) kama juhudi za kutambua mafanikio yake makubwa ya kihistoria katika riadha. - @ahmedbahajjofficial anasimulia - - - #bbcswahili #Kenya #SebastianSawe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw