Rais Ruto anahimiza umoja wa kitaifa

  • | Citizen TV
    179 views

    Rais William Ruto anasisitiza kuwa uamuzi wa kuwajumuisha viongozi wa upinzani kwenye baraza la mawaziri ulilenga kuleta umoja wa kitaifa.