Rais Ruto anashinikiza ushirikiano wa kimataifa

  • | Citizen TV
    517 views

    Rais William Ruto anashinikiza ushirikiano w akimikakati kutatua majanga yanayozidi kusibu dunia. Akizungumza mjini New York marekani, Rais Ruto amesema kuwa jamii ya kimataifa imeshindwaakutimiza malengo na ahadi zake kuhusiana na ufadhili wakukabili athari za mabadiliko ya tabianchi duniani na haswa katika mataifa ya bara afrika. aidha Rais Ruto amesema kuwa mataifa hayo hayajatekeleza majukumu yake ya kuhakikisha maendeleo endelevu, amani na usalama.