Rais Ruto aongoza kikao cha mawaziri cha kwanza Ikulu ya Rais

  • | Citizen TV
    3,965 views

    Rais William Ruto ameongoza kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri katika Ikulu ya Narobi. Mawaziri wote wamehudhuria mkutano wa leo, wakiwemo wale waliojitokeza wazi wazi kupinga kuchaguliwa kwa Ruto kuwa Rais.