Rais Ruto aonya wanahabari dhidi ya kupeperusha habari zisizokuwa na uwajibikaji

  • | Citizen TV
    3,027 views

    Na Kuhusu Vyombo Vya Habari, Rais William Ruto Ameonya Vyombo Vya Habari Kwa Kile Anasema Ni Upeperushaji Habari Usiokuwa Na Uwajibikaji. Ruto Akisema Kuwa Wanahabari Hawapaswi Kuripoti Kwa Kusherehekea Au Kuchochea Ghasia Na Hata Kuvurugwa Kwa Uthabiti Wa Taifa