Rais Ruto apokea ripoti kutoka kwa kamati maalum ya uteuzi wa mwenyekiti na makamishna wapya wa IEBC

  • | Citizen TV
    1,163 views

    Kamati maalum ya uteuzi wa mwenyekiti na makamishna wapya wa tume ya uchaguzi nchini wamemkabidhi rasmi rais ripoti yake.