Rais Ruto apongeza timu ya Harambee Stars

  • | Citizen TV
    1,578 views

    Rais William Ruto amewaongoza wakenya kupongeza Harambee Stars kwa hatua waliyopiga katika kinyanganyiro cha chan akisema kuondolewa kwao kwenye mechi ya robo fainali sio mwisho wao kwani wamejizatiti kuweka taifa mbele