Rais Ruto apuuzilia mbali madai ya Raila kuwa Chebukati alimtembelea nyumbani kwake

  • | Citizen TV
    5,065 views

    Rais Rilliam Ruto amepuuzilia mbali madai ya kinara wa azimio Raila Odinga kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati alimtembelea nyumbani kwake. Rais Ruto anamaka vipi tukio hilo halikujitokeza wakati wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kwanini Raila amesema hayo miezi 5 baada ya uchaguzi bila kusema sababu za chebukati kumtembelea. Rais amezungumza haya alipofungua kongamano la viongozi wa mashtaka wanaokongamana mjini Mombasa