- 1,004 viewsRais William Ruto amewarai viongozi wa kanisa kuunga mkono mipango yake kwa wakenya. Rais aliyehudhuria hafla ya kanisa la kievenjelisti hapa Nairobi akisema kuwa licha ya shauku za wakenya, serikali yake imeendelea kujitahidi akikosoa siasa za wapinzani wake.