Rais Ruto asaini mswada wa fedha kuwa sheria

  • | Citizen TV
    864 views

    Rais William Ruto ametia saini mswada wa fedha wa mwaka 2023 kuwa sheria. Mswada huo ulipitishwa na bunge la kitaifa wiki jana baada ya vikao kadhaa vikiwemo maoni kutoka kwa wananchi.