Rais Ruto asema alikuwa na uwezo wa kufungia matangazo

  • | Citizen TV
    5,586 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa alijizuia kuvifungia vyombo vya habari kupeperusha matangazo wakati wa maandamano licha ya kuwa na uwezo wa kufanya hivyo