Rais Ruto asema bima ya SHA na ujenzi wa nyumba utaendelea

  • | Citizen TV
    3,852 views

    Rais William Ruto ametetea baadhi ya miradi na mipango ya serikali ambayo imepata pingamizi kubwa katika siku za hivi punde, huku akionya kuwapiga kalamu mawaziri wazembe kwenye serikali yake. Akizungumza katika halfa ya kutia saini mikataba ya utendakazi ya mawaziri, rais alisema licha ya marais waliomtangulia kufeli kwenye baadhi ya miradi hiyo, yeye atasalia hadi mwisho