Rais Ruto asema hakukuwa na washindi na washindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita

  • | KBC Video
    31 views

    Rais William Ruto amesema hakukuwa na washindi na washinde katika uchaguzi mkuu uliopita. Ruto alishauri viongozi wote pasipo kujali mirengo ya kisiasa kusahau yaliopita na kuangazia utoaji huduma kwa wananchi. Rais Ruto alisema hayo alipofungua rasmi kongamano la pili la kimataifa la uwekezaji katika kaunti ya Homabay. Alikariri kwamba serikali yake imejitolea kupiga jeki ugatuzi kwani kaunti ndizo nguzo ya ustawi wa maendeleo humu nchini. Achola Simon na taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive