Rais Ruto asema hataruhusu maandamano inayoongozwa na vijana kuendelea tena nchini

  • | Citizen TV
    12,069 views

    Rais william Ruto sasa anasema hataruhusu maandamano kuendelea nchini huku akisema ametoa nafasi ya kutosha kwa vijana wa Gen Z. Rais Ruto pia akiwaonya wale ambao wamekuwa wakipanga, kufadhili na kushiriki maandamana kusitisha shughuli hizo na kuwacha taifa kusonga mbele. Akizungumza kaunti ya Bomet, Ruto alisema muda umewadia sasa wa kulinda taifa na kuzuia maandamano hayo, Kama mwanahabari Emmanuel Too anavyotuarifu