Rais Ruto asema kanuni ya thuluthi mbili ya uwakilishi sharti iafikiwe

  • | KBC Video
    11 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa bunge kuharakisha utekelezaji wa kanuni ya kikatiba ya uwakilishi wa kijinsia wa thuluthi mbili kuhakikisha uchumi jumuishi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive