Rais Ruto asema maamuzi yake magumu yamezaa matunda

  • | Citizen TV
    5,695 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa uchumi wa Kenya umeanza kuimarika kutokana na maamuzi magumu aliyofanya alipotwaa uongozi, japo yalipingwa na kukosolewa na wengi. Rais akionekena kuangazia hatua zilizopigwa kuimarisha shilingi dhidi ya dola, pamoja na kupunguwa kwa bei za mafuta na unga. Na kama Ben Kirui anavyoarifu, rais amesema kuwa maamuzi magumu yataendelea kufanywa kwa minajili ya maendeleo.