Rais Ruto asema mpango wa kutuma polisi wa Kenya nchini Haiti utafaulu

  • | Citizen TV
    2,302 views

    Rais William Ruto ameeleza kuridhishwa na uamuzi wa baraza la usalama la umoja wa Mataifa, UN, kuidhinisha mpango wa kutumwa kwa vikosi vya kimataifa vya usalama nchini Haiti. rais amesema kuwa mpango huo una umuhimu mkubwa kwa haiti, taifa lililokandamizwa na minyororo ya ukoloni, sawa na taifa hilo la Haiti. Rais ameeleza kuwa kujitolea kwa serikali kuhakikisha mpango huo wa kuwatuma maafisa wa Kenya wa usalama huko unafaulu.