- 635 viewsDuration: 2:51Rais William Ruto sasa anasema serikali imekuwa ikizima umeme katika maeneo tofauti nchini kati ya saa kumi na moja jioni na saa nne usiku, ili kukidhi mahitaji ya juu ya umeme. Rais Ruto akisema kenya inahitaji zaidi ya shilingi trilioni 1 kuongeza umeme huo. Akizungumza katika kikao na wakenya wanaoishi nchini Qatar, Rais aliwataka wakenya kuchangia maendeleo ya kitaifa bila ya kukopa fedha kutoka kwa mataifa ya nje