Rais Ruto asema serikali itawasaidia waathiriwa mkasa wa bwawa Mai Mahiu kujijenga upya

  • | Citizen TV
    4,461 views

    Serikali sasa inasema itawasaidia kupata makao waathiriwa wa mafuriko ya Mai Mahiu endapo eneo hilo litatajwa kutokuwa hatari. Rais William Ruto alitoa ahadi hii alipozuru eneo hili lililoshuhudia mkasa uliowauwa watu 48. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, maswali bado yanaibuka kuhusiana na mkasa huo.