Rais Ruto asema wanafunzi wanaostahili kupata ufadhili

  • | Citizen TV
    1,017 views

    Rais William Ruto ameteta mgao wa elimu ya juu nchini akisema umeongezwa kutoka shilingi bilioni 45 hadi bilioni 82. Rais akizungumzia mkanganyiko wa karo za wanafunzi wa vyuo vikuu ametoa hakikisho kuwa hakuna mwanafunzi anayestahiki atakayekosa ufadhili.