Rais Ruto ataja kukufua uchumi na kupunguza gharama ya maisha

  • | KBC Video
    28 views

    Rais William Ruto ametangaza mafanikio ya serikali yake katika kipindi cha miaka miwili iliyopita chini ya mfumo wa kukuza uchumi kuanzia mashinani yaani-Bottom Up. Ruto ambaye aliorodhesha mafanikio hayo alipotimua baraza zima la mawaziri alitaja juhudi za kuzuia kutolipwa kwa madeni, kufufua uchumi, kupunguza bei ya vyakula, kuhakikisha udhabiti wa shilingi ya Kenya na kupunguza gharama ya maisha. Nancy Okware na taslifu kamili kuhusu mafanikio ya serikali huku baraza la mawaziri likifunganya virago.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive