Rais Ruto ataja mabadiliko ya tabianchi kuwa changamoto kuu inayosakama ulimwengu

  • | KBC Video
    38 views

    Rais William Ruto amesema ulimwengu unakabiliwa na changamoto tatu kuu ambazo ni mabadiliko ya tabia nchi, kudidimia kwa bio-anuwai, uchafuzi wa mazingira na taka za plastiki. Akihutubia kikao cha sita cha baraza kuu la mazingira la Umoja wa Mataifa jijini Nairobi, Rais Ruto alisema changamoto hizo zinaweza tu kutatuliwa kupitia mbinu mahsusi za kimataifa. Wakati huo huo, Rais Ruto alitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kubuni madhubuti za kudhibiti taka akibainisha kuwa ni muhimu kudumisha uchumi wa majini na mifumo yake ya ikolojia. Alvin Kaunda na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive