Rais Ruto ataka siasa za uchaguzi kusitishwa

  • | KBC Video
    423 views

    Rais William Ruto amewataka viongozi wa Kenya Kwanza kusitisha siasa za uchaguzi mkuu wa 2027 na badala yake kuwatumikia wakenya waliowachagua. Rais aliyeongoza mkutano wa pamoja wa maafisa wakuu wa serikali na wabunge kutoka mrengo wa Kenya Kwanza alisema serikali itaendelea kufanya maamuzi magumu yanayolenga kuboresha uchumi wa nchi akihusisha changamoto za sasa za kiuchumi kama zilizotokana na maamuzi mabaya ya hapo awali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive