Rais Ruto ataka wakenya kutounga mkono maandamano

  • | Citizen TV
    9,515 views

    Rais William Ruto amekashifu maandamano ya nane nane yanayotarajiwa kufanyika hapo kesho. Rais akiwataka wakenya kutojihusisha na maandamano hayo anayosema ni ya kuvuruga amani. Rais aliyezuru kaunti ya embu hii leo akiwataka wakenya kuweka imani yao na baraza jipya la mawaziri alilobuni kubadili mkondo wa taifa.