Rais Ruto ataka wakenya wampe muda katika kufanikisha ajenda mbali mbali za maendeleo

  • | K24 Video
    36 views

    Rais William Ruto amewataka wakenya wampe muda katika kufanikisha ajenda mbali mbali za maendeleo kama alivyoahidi wakati wa kampeni. Rais Ruto ameendelea kutetea uundaji wa serikali yenye msingi mpana. Haya yanajiri baada ya kuwateua baadhi ya viongozi wa chama cha upinzani odm kujiunga na baraza lake jipya la mawaziri