Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezi ya kitaifa kufuatia kifo cha Raila Odinga

  • | Citizen TV
    9,498 views
    Duration: 2:40
    Rais William Ruto ametangaza siku saba za maombolezi ya kitaifa kufuatia kifo cha waziri mkuu wa zamani na kinara wa ODM Raila Odinga. Kwenye kikao kutoka ikulu ya Nairobi, rais amemtaja Raila kama kiongozi aliyepigania kenya pakubwa akimtaja kama mzalendo. Rais pia akisema bendera zitapeperushwa nusu mlingoti huku pia akitangaza kuwa Raila atapewa mazishi ya kitaifa