1 Mar 2026 7:34 pm | Citizen TV 741 views Duration: 1:25 Rais William Ruto amesema kwamba atatumia utendakazi wake katika sekta mbali mbali kama sababu ya kuwarai Wakenya kumpigia kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.