Rais Ruto atia saini mswada wa kuongeza ugavi wa kaunti

  • | TV 47
    18 views

    Rais William Ruto leo hii ametia saini mswada wa ruzuku za ziada kwa serikali za Kaunti.

    Raisi amesema kuwa serikali ya kitaifa itaendelea kukusanya rasilimali ili kusaidia serikali za kaunti na kuwa amejitolea kuhakikisha shughuli katika kaunti zinaendeshwa vyema huku akiwasifu magavana ambao wanaendelea kupanua vyanzo vyao vya mapato ili kusaidia utoaji wa huduma kwa wananchi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __