Rais Ruto atia saini mswada wa marekebisho ya tume ya IEBC

  • | KBC Video
    24 views

    Utaratibu wa kuwatambua makamishna wapya watakaohudumu katika tume huru ya uchaguzi na mipaka sasa umeanza baada ya mswada wa marekebisho ya IEBC kutiwa saini kuwa sheria na Rais William Ruto. Katika hafla ambapo kwa mara ya kwanza katika historia y nchi hii upinzani ulishuhudia kutiwa saini kwa mswada kuwa sheria katika jumba la mikutano la kimataifa la KICC, Rais alitoa wito kwa mirengo ya kisiasa kushirikiana kwa manufaa ya taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive