Rais Ruto atia saini sheria ya Mkinzano wa Maslahi

  • | KBC Video
    27 views

    MKINZANO WA MASLAHI

    Rais Ruto atia saini sheria ya Mkinzano wa Maslahi

    Watumishi wa umma hawataruhusiwa kushiriki biashara na serikali

    Sheria hiyo inalenga kukabiliana na ufisadi

    Rais pia ametia saini sheria ya Utunzi wa Jamii

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News