Rais Ruto atoa mwelekeo mpya kuhusu kiwango cha chini kwa malipo kwa mfanyikazi

  • | K24 Video
    68 views

    Wafanyikazi waliokuwa wakitarajia kuongezwa mishahara watalazimika kusubiri kwa muda baada ya Rais William Ruto kukosa kutoa mwelekeo mpya kuhusu kiwango cha chini cha malipo kwa mfanyikazi. Rais badala yake alitangaza mipango ya kusawazisha mishahara katika sekta ya kibinafsi na serikali na kuimarisha malipo ya wastaafu.