Rais Ruto aunda jopokazi la pamoja kukabiliana na ufisadi

  • | Citizen TV
    3,350 views

    RAIS WILLIAM RUTO AMEBUNI JOPOKAZI LA PAMOJA LINALOSHIRIKISHA IDARA NA MASHIRIKA MBALIMBALI ILI KUPIGA JEKI VITA DHIDI YA UFISADI. JOPO KAZI HILO LINAHUSISHA ASASI NA TUME KUMI ZITAKAZOFANYA KAZI PAMOJA KUKOMESHA UFISADI NCHINI. RAIS RUTO AMBAYE AMESAFIRI KUELEKEA TAIFA LA JAPAN, AMESEMA KUWA VITA DHIDI YA WIZI NA UFUJAJI WA MALI YA UMMA SASA VITAKUWA NA ADHABU KALI NA YA KESI ZA UFISADI KUTATULIWA KWA HARAKA ZAIDI