Rais Ruto awahakikishia wabunge kupata pesa ya wabunge kabla ya shule kufunguliwa

  • | K24 Video
    195 views

    Rais William Ruto ameahidi fedha za ustawi wa maeneo bunge, NG-CDF zitatolewa kabla ya shule kufunguliwa Januari mwaka ujao. Kauli yake inajiri siku mbili baada ya wabunge kusitisha kikao bungeni wakilalamikia kucheleweshwa kwa fedha hizo.